Revelation of John 22:16

16 a“Mimi, Isa, nimemtuma malaika wangu kushuhudia mambo haya kwa ajili ya makanisa. Mimi ndimi Shina na Mzao wa Daudi, ile Nyota ya Asubuhi ing’aayo.”

Copyright information for SwhKC