Song of Solomon 4:16


16 aAmka, upepo wa kaskazini,
na uje, upepo wa kusini!
Vuma juu ya bustani yangu,
ili harufu yake nzuri iweze kuenea mpaka ng’ambo.
Mpendwa wangu na aje bustanini mwake
na kuonja matunda mazuri sana.
Copyright information for SwhKC