Zechariah 14:7-8
7 aItakuwa siku ya kipekee, isiyo na mchana wala usiku, siku ijulikanayo na Bwana. Jioni inapofika nuru itakuwepo. 8 bSiku hiyo, maji yaliyo hai yatatiririka kutoka Yerusalemu, nusu kwenda kwenye bahari ya mashariki, ▼▼ Yaani Bahari ya Chumvi au Bahari Mfu.
na nusu kwenda kwenye bahari ya magharibi ▼▼ Yaani Bahari ya Mediterania.
wakati wa kiangazi na wakati wa masika.
Copyright information for
SwhKC