Zephaniah 2:7


7 aItakuwa mali ya mabaki ya nyumba ya Yuda,
hapo watapata malisho.
Wakati wa jioni watajilaza chini
katika nyumba za Ashkeloni.
Bwana Mwenyezi Mungu wao atawatunza,
naye atawarudishia wafungwa wao.
Copyright information for SwhKC