‏ Numbers 15:4

4 andipo yeye aletaye sadaka yake ataiweka mbele za Bwana sadaka ya nafaka, sehemu ya kumi ya efa ▼
▼Sehemu ya kumi ya efa ni sawa na kilo moja.
ya unga laini uliochanganywa na robo ya hini ▼
▼Robo ya hini ni sawa na lita moja.
ya mafuta.
Copyright information for SwhNEN