1 Kings 7:45
45
masufuria, masepetu na mabakuli ya kunyunyizia.
Vyombo hivi vyote ambavyo Huramu alimtengenezea Mfalme Solomoni kwa ajili ya Hekalu la
Bwana
vilikuwa vya shaba iliyongʼarishwa.
Copyright information for
SwhNEN