Deuteronomy 33:7
7
Akasema hili kuhusu Yuda:
“Ee
Bwana
, sikia kilio cha Yuda,
mlete kwa watu wake.
Kwa mikono yake mwenyewe hujitetea.
Naam, uwe msaada wake
dhidi ya adui zake!”
Copyright information for
SwhNEN