‏ Numbers 16:30

30 aLakini ikiwa Bwana ataleta jambo jipya kabisa, ardhi ikifunua kinywa chake na kuwameza wao, pamoja na kila kitu kilicho mali yao, nao washuke chini kaburini ▼
▼Kaburini hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol.
wakiwa hai, ndipo mtafahamu kuwa watu hawa wamemdharau Bwana.”

Copyright information for SwhNEN