a
Neh 3:1
b
2Sam 20:15
;
Isa 26:1
;
Mao 2:8
;
Hab 2:1
;
Za 78:6
;
71:18
;
109:13
Psalms 48:12-13
12
a
Tembeeni katika Sayuni,
uzungukeni mji,
hesabuni minara yake;
13
b
yatafakarini vyema maboma yake,
angalieni ngome zake,
ili mpate kusimulia habari zake
kwa kizazi kijacho.
Copyright information for
SwhNEN