2 Kings 14:21-22
21Kisha watu wote wa Yuda wakamchukua Azaria ▼▼Azaria pia aliitwa Uzia.
aliyekuwa na umri wa miaka kumi na sita, na kumfanya mfalme mahali pa baba yake Amazia. 22Ndiye aliijenga tena Elathi na kuirudisha kwa Yuda baada ya Amazia kulala pamoja na baba zake.
Copyright information for
SwhNeno