Luke 17:1-2
Yesu Afundisha Kuhusu Majaribu, Dhambi Na Imani
(Mathayo 18:6-7, 21-22; Marko 9:42)
1Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Mambo yanayosababisha watu watende dhambi hayana budi kutukia. Lakini ole wake mtu yule anayeyasababisha. 2Ingekuwa heri kama mtu huyo angefungiwa jiwe la kusagia shingoni na kutoswa baharini, kuliko kumsababisha mmojawapo wa hawa wadogo kutenda dhambi.
Copyright information for
SwhNeno