Luke 6:27-28
Wapendeni Adui Zenu
(Mathayo 5:38-48)
27 “Lakini nawaambia ninyi mnaonisikia: Wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wanaowachukia. 28Wabarikini wale wanaowalaani, waombeeni wale wanaowatendea mabaya.
Copyright information for
SwhNeno