Mark 16:12-13
Yesu Awatokea Wanafunzi Wawili
(Luka 24:13-35)
12Baadaye Yesu akawatokea wawili miongoni mwa wanafunzi wake walipokuwa wakienda shambani akiwa katika sura nyingine. 13Nao wakarudi na kuwaambia wenzao. Lakini hawakuwasadiki wao pia.
Copyright information for
SwhNeno