Mark 8:11-12
Mafarisayo Waomba Ishara
(Mathayo 12:38-42; 16:1-4)
11Mafarisayo wakaja, wakaanza kumhoji Yesu. Ili kumtega, wakamwomba awaonyeshe ishara kutoka mbinguni. 12Akahuzunika moyoni, akawaambia, “Kwa nini kizazi hiki kinataka ishara? Amin nawaambieni, hakitapewa ishara yoyote.”
Copyright information for
SwhNeno