Matthew 26:69-70
Petro Amkana Bwana Yesu
(Marko 14:66-72; Luka 22:56-62; Yohana 18:15-18, 25-27)
69Wakati huu Petro alikuwa amekaa nje uani. Mtumishi mmoja wa kike akamjia na kumwambia, “Wewe pia ulikuwa pamoja na Yesu wa Galilaya.” 70Lakini Petro akakana mbele yao wote akisema, “Sijui hilo usemalo.”
Copyright information for
SwhNeno