Matthew 27:1-2
Yesu Aletwa Mbele Ya Pilato
(Marko 15:1; Luka 23:1-2; Yohana 18:28-32)
1Asubuhi na mapema, viongozi wa makuhani wote na wazee wa watu wakafanya shauri pamoja dhidi ya Yesu ili kumuua. 2Wakamfunga, wakampeleka na kumkabidhi kwa Pilato, ambaye alikuwa mtawala wa Kirumi.
Copyright information for
SwhNeno