‏ Luke 13:20-21

Mfano Wa Chachu

(Mathayo 13:33)

20Yesu akauliza tena, “Nitaufananisha Ufalme wa Mungu na nini? 21Unafanana na chachu ambayo mwanamke aliichukua akaichanganya katika kiasi kikubwa cha unga mpaka wote ukaumuka.”
Copyright information for SwhNeno