‏ Luke 14:34-35

Chumvi Isiyofaa

(Mathayo 5:13; Marko 9:50)

34 “Chumvi ni nzuri, lakini chumvi ikiwa imepoteza ladha yake, itafanywaje ili iweze kukolea tena? 35Haifai ardhi wala kwa lundo la mbolea, bali hutupwa nje.

“Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.”
Copyright information for SwhNeno