Mark 12:33-35
33Kumpenda Mungu kwa moyo wote na kwa akili zote na kwa nguvu zote, na kumpenda jirani kama mtu anavyojipenda mwenyewe ni bora zaidi kuliko kutoa sadaka za kuteketezwa na dhabihu zote.” 34Yesu alipoona kwamba amejibu kwa busara, akamwambia, “Wewe hauko mbali na Ufalme wa Mungu.” Tangu wakati huo, hakuna mtu yeyote aliyethubutu kumuuliza maswali tena.Kristo Ni Mwana Wa Nani?
(Mathayo 22:41-46; Luka 20:41-44)
35Yesu alipokuwa akifundisha Hekaluni, akauliza, “Imekuwaje walimu wa sheria wanasema kwamba Kristo ▼▼Kristo maana yake ni Masiya, yaani Aliyetiwa mafuta.
ni Mwana wa Daudi?
Copyright information for
SwhNeno