‏ Matthew 10:34-36

Sikuleta Amani, Bali Upanga

(Luka 12:51-53; 14:26-27)

34 “Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga. 35Kwa maana nimekuja kumfitini “ ‘mtu na babaye,
binti na mamaye,
mkwe na mama mkwe wake;
36 nao adui za mtu watakuwa
ni wale watu wa nyumbani kwake.’
Copyright information for SwhNeno