Matthew 13:33
Mfano Wa Chachu
(Luka 13:20-21)
33Akawaambia mfano mwingine, “Ufalme wa Mbinguni unafanana na chachu ambayo mwanamke aliichukua akaichanganya katika kiasi kikubwa cha unga mpaka wote ukaumuka.”
Copyright information for
SwhNeno