Psalms 117

Sifa Za Bwana

1 aMsifuni Bwana, enyi mataifa yote;
mtukuzeni yeye, enyi watu wote.
2 bKwa kuwa upendo wake kwetu ni mkuu,
uaminifu wa Bwana unadumu milele.

Msifuni Bwana.
Copyright information for SwhNEN