1 Chronicles 26:14

14 aKura ya Lango la Mashariki ilimwangukia Shelemia.
Shelemia jina lingine ni Meshelemia.
Kisha wakapiga kura kwa Zekaria mwanawe, aliyekuwa mshauri mwenye hekima, nayo kura ya Lango la Kaskazini ikamwangukia.
Copyright information for SwhNEN