1 Corinthians 10:1

Onyo Kutoka Historia Ya Waisraeli

1 aNdugu zangu, sitaki mkose kufahamu ukweli huu kwamba baba zetu walikuwa wote chini ya wingu na kwamba wote walipita katikati ya bahari.
Copyright information for SwhNEN