1 Corinthians 8:1

Chakula Kilichotolewa Sadaka Kwa Sanamu

1 aSasa kuhusu chakula kilichotolewa sadaka kwa sanamu, tunajua kwamba “sisi sote tuna ujuzi.” Lakini ujuzi hujivuna, bali upendo hujenga.
Copyright information for SwhNEN