1 Kings 13:1

Mtu Wa Mungu Kutoka Yuda

1 aKwa neno la Bwana, mtu wa Mungu alifika Betheli kutoka Yuda wakati Yeroboamu alipokuwa amesimama kando ya madhabahu ili kutoa sadaka.
Copyright information for SwhNEN