1 Samuel 12:11

11 aNdipo Bwana akawatuma Yerub-Baali,
Yerub-Baali pia aliitwa Gideoni.
Baraka, Yefta na Samweli, naye akawaokoa kutoka mikononi mwa adui zenu kila upande, ili ninyi mpate kukaa salama.

Copyright information for SwhNEN