1 Samuel 15:1

Bwana Anamkataa Sauli Asiwe Mfalme

1 aSamweli akamwambia Sauli, “Mimi ndiye ambaye Bwana alinituma nikutie mafuta uwe mfalme juu ya watu wake Israeli, basi sasa sikiliza ujumbe kutoka kwa Bwana.
Copyright information for SwhNEN