1 Samuel 24:12

12 aBwana na ahukumu kati yangu na wewe. Naye Bwana alipize mabaya unayonitendea, lakini mkono wangu hautakugusa.
Copyright information for SwhNEN