1 Samuel 9:1

Samweli Anamtia Sauli Mafuta

1 aKulikuwako Mbenyamini mmoja, mtu maarufu, ambaye aliitwa Kishi mwana wa Abieli, mwana wa Serori, mwana wa Bekorathi, mwana wa Afia wa Benyamini.
Copyright information for SwhNEN