1 Thessalonians 2:17

Paulo Atamani Kuwaona Wathesalonike

17 aLakini ndugu zetu, tulipotenganishwa nanyi kwa kitambo kidogo (ingawa kutengana huko kulikuwa kwa mwili tu, si kwa moyo), tulizidi kuwa na shauku kubwa kuwaona uso kwa uso.
Copyright information for SwhNEN