2 Chronicles 3:1

Solomoni Ajenga Hekalu

(1 Wafalme 6:1-38; 7:15-22)

1 aNdipo Solomoni akaanza kujenga Hekalu la Bwana katika Yerusalemu juu ya Mlima Moria, pale ambapo Bwana alikuwa amemtokea Daudi baba yake. Ilikuwa katika kiwanja cha kupuria cha Arauna,
Pia anaitwa Ornani kwa Kiebrania.
Myebusi, mahali palipotolewa na Daudi.
Copyright information for SwhNEN