2 Chronicles 7:1
Hekalu Lawekwa Wakfu
(1 Wafalme 8:62-66)
1 aBaada ya Solomoni kumaliza kuomba, moto ukashuka kutoka mbinguni na kuteketeza sadaka ya kuteketezwa na dhabihu, nao utukufu wa Bwana ukalijaza Hekalu.
Copyright information for
SwhNEN