2 Kings 1:17

17 aHivyo akafa, sawasawa na lile neno la Bwana ambalo Eliya alikuwa amesema.

Kwa kuwa Ahazia hakuwa na mwana, Yoramu
Yoramu ni namna nyingine ya kutaja jina Yehoramu.
akawa mfalme baada yake katika mwaka wa pili wa Yehoramu mwana wa Yehoshafati mfalme wa Yuda.
Copyright information for SwhNEN