2 Kings 19:29

29 a“Hii ndiyo itakuwa ishara kwako, ee Hezekia:

“Mwaka huu utakula kile kiotacho chenyewe,
na mwaka wa pili utakula kutoka machipukizi yake.
Lakini katika mwaka wa tatu, panda na uvune,
panda mashamba ya mizabibu na ule matunda yake.
Copyright information for SwhNEN