Acts 24:1

Mbele Ya Feliksi Huko Kaisaria

1 aBaada ya siku tano, kuhani mkuu Anania akashuka akiwa amefuatana na baadhi ya wazee pamoja na mwanasheria mmoja aitwaye Tertulo, nao wakaleta mashtaka yao dhidi ya Paulo mbele ya mtawala.
Copyright information for SwhNEN