Exodus 16:15

15 aWaisraeli walipoona, wakaambiana, “Hiki ni nini?” Kwa kuwa hawakujua kilikuwa kitu gani.

Mose akawaambia, “Huu ndio mkate ambao Bwana amewapa mle.
Copyright information for SwhNEN