Exodus 30:13

13 aKila mmoja anayekwenda upande wa wale waliokwisha hesabiwa atatoa nusu shekeli,
Nusu shekeli ni sawa na gramu 6.
kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, ambayo ina uzito wa gera ishirini.
Gera 20 ni sawa na shekeli moja au gramu 12.
Hii nusu shekeli ni sadaka kwa Bwana.
Copyright information for SwhNEN