Ezekiel 26:17

17 aNdipo wao watakuombolezea na kukuambia:

“ ‘Tazama jinsi ulivyoharibiwa,
ee mji uliokuwa na sifa,
wewe uliyekaliwa na mabaharia!
Ulikuwa na nguvu kwenye bahari,
wewe na watu wako;
wote walioishi huko,
uliwatia hofu kuu.
Copyright information for SwhNEN