Ezekiel 27:31

31 aWatanyoa nywele zao kwa ajili yako,
nao watavaa nguo za magunia.
Watakulilia kwa uchungu wa moyo
na kwa maombolezo makuu.
Copyright information for SwhNEN