Ezekiel 32:8

8 aMianga yote itoayo nuru angani
nitaitia giza juu yako;
nitaleta giza juu ya nchi yako,
asema Bwana Mwenyezi.
Copyright information for SwhNEN