Ezekiel 7:18

18 aWatavaa nguo ya gunia na kufunikwa na hofu. Nyuso zao zitafunikwa na aibu na nywele za vichwa vyao zitanyolewa.
Copyright information for SwhNEN