Ezra 6:3

3 aKatika mwaka wa kwanza wa kutawala Mfalme Koreshi, mfalme alitoa amri kuhusu Hekalu la Mungu katika Yerusalemu:

Hekalu na lijengwe tena mahali palepale Wayahudi walipokuwa wakitoa dhabihu, kwenye msingi ule ule. Iwe na kimo cha mikono sitini,
Mikono 60 ni sawa na mita 27.
upana wa mikono sitini,
Copyright information for SwhNEN