Genesis 16:11

11 aPia malaika wa Bwana akamwambia:

“Wewe sasa una mimba
nawe utamzaa mwana.
Utamwita jina lake Ishmaeli,
Ishmaeli maana yake Mungu husikia.

kwa sababu Bwana amesikia juu ya huzuni yako.
Copyright information for SwhNEN