Genesis 17:5

5 aJina lako hutaitwa tena Abramu, bali jina lako litakuwa Abrahamu,
Abrahamu maana yake Baba wa watu wengi.
kwa maana nimekufanya wewe baba wa mataifa mengi.
Copyright information for SwhNEN