Genesis 29:32

32 aLea akapata mimba akazaa mwana. Akamwita Reubeni,
Reubeni maana yake Ona mwana, yaani Yehova ameangalia taabu yangu.
kwa maana alisema, “Ni kwa sababu Bwana ameona huzuni yangu. Hakika mume wangu sasa atanipenda.”

Copyright information for SwhNEN