Genesis 32:28

28 aNdipo yule mtu akasema, “Jina lako halitakuwa tena Yakobo, bali Israeli,
Israeli maana yake Yeye ashindanaye na Mungu.
kwa sababu umeshindana na Mungu na watu pia, nawe umeshinda.”

Copyright information for SwhNEN