Genesis 32:30

30 aKwa hiyo Yakobo akapaita mahali pale Penieli,
Penieli maana yake Uso wa Mungu, ambalo ni sawa na Penueli kwa Kiebrania.
akasema, “Ni kwa sababu nimemwona Mungu uso kwa uso na bado maisha yangu yameokoka.”

Copyright information for SwhNEN