Genesis 37:28

28 aKwa hiyo wale wafanyabiashara Wamidiani walipofika pale, ndugu zake wakamtoa Yosefu kutoka kwenye lile shimo, na kumuuza kwa shekeli ishirini
Shekeli 20 ni sawa na gramu 200.
za fedha kwa wale Waishmaeli, ambao walimpeleka Misri.

Copyright information for SwhNEN