Haggai 1:1

Wito Wa Kuijenga Nyumba Ya Bwana

1 aKatika mwaka wa pili wa utawala wa Mfalme Dario wa Uajemi, katika siku ya kwanza ya mwezi wa sita, neno la Bwana lilikuja kupitia kwa nabii Hagai kwenda kwa Zerubabeli mwana wa Shealtieli, mtawala wa Yuda na kwa Yoshua
Yoshua kwa Kiebrania ni Yeshua, maana yake ni Yehova ni wokovu.
mwana wa kuhani mkuu Yehosadaki:

Copyright information for SwhNEN